24 Juni 2025 - 21:55
Waziri wa Ulinzi wa Pakistan: Iran Imeshinda Vita

"Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali na watu wa Iran kwa ushindi huu".

Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Iran ilijilinda na kujihami kwa ushujaa. Hivyo nachukua fursa hii kuipongeza Serikali na watu wa Iran kwa ushindi huu.

Waziri wa Ulinzi wa Pakistan: Iran Imeshinda Vita

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha